AMITAH BACHCHAN NA ANURAG KASHYAP WAUNGANA KWA AJILI YA KUTENGENEZA SERIES

Amitabh na Anurag wanatalajiwa kuonekana katika series mpya katika television na pia Amitabh atakuwa kama producer wa series hiyo mpya.Itakuwa inahusu mambo ya kijami.Wapenzi wengi wa series wanaisubili kwa hamu kubwa

Comments