BREAKING NEWS: YANGA NAYO KUTOENDA DARFUR KUTETEA UBINGWA WAO Habari za kuaminika kutoka kwa chanzo cha karibu na uongozi wa klabu wa Yanga ni kwamba mabingwa hao watetezi wa kombe la Kagame hawatoenda kushiriki michuano hiyo mwaka huu iliyopangwa kuanza hivi karibuni huko Darfur Sudan.Yanga ni timu kama ya tano kujitoa kakika mashindano hayo.Japo uongozi wa sudani wasudani wamesema mashindano hayo yatafanyika maeneo salama kabisa.
Comments
Post a Comment