Jose Mourinho Athibitisha Kurudi Chelsea.

 Jose Mourinho Athibitisha Kurudi Chelsea.: Kwenye mahojiano aliyofanyiwa weekend hii Kocha Jose Mourinho amethibitisha kuwa kabla ya mwisho wa wiki hii atakuwa kocha rasmi wa Chelsea.Jose amesisitiza kuwa upendo wa mashabik wa chelsea ndio uliomfanya arudi tena..Katika kipindi cha television cha punto pelota amesema wiki ijayo atakuwa  London kumalizia makubaliano ya mkataba na timu hiyo  ya london

Comments