Justin Bieber anaweza kuwa mmoja ya wanamuziki ambao wanaongoza kuwa na skendo nyingi... lakini yeye ana matarajio makubwa kwa ajili ya kupenda maisha yake. akiwa katika tua yake maalumu Us Weekly .Justin Biber anawaelezea waandishi kwamba ana matumaini ya "kupata mwanamke na kufunga ndoa na kuanza familia" chini ya mstari, akiongeza kuwa babu yake ni mfano kwake .
Kwa nini?
Kwa sababu "ya kupendana sana,na Bibi yake kwa miaka mingi! na mimi nataka kuwa kama wao katika upendo na mke wangu kama babu yangu ni pamoja na mke wake." Mwanamziki huyo ambaye anakabiliwa na tuhuma, na kashfa na upinzani kwa kuwa na kesi na mpiga picha ambaye anadai Justin Bieber alimpiga mateke katika tumbo lake mwaka jana.
"JUSTIN BIEBER anasema mimi bado naendelea kukua anasema. "Mimi nina jaribu kuwa mtu mzuri kila siku naamin nitafanikiwa."
Comments
Post a Comment