KHADIJA KOPA AFIWA NA MUMEWE: Malkia wa mipasho Khadija Omari Kopa amefiwa na mumewe (Jaffari Ally) usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Lugalo, jijini Dar es salaam.Marehemu inasemekana alilazwa hospitalini hapo toka jumatatu.Na mkewe alikuwepo mkoani Rukwa kikazi mpaka mumewe umauti unamkuta.Msiba kwa Dar upo maeneo ya mtogole kwa mama yake mzazi JAFFARY..........R.I.P Brother (Tunatoa pole kwa familia yote ya marehemu)
Khadija kopa akiwa na mumewe enzi za uhai wake
Khadija kopa akiwa na mumewe enzi za uhai wake
Comments
Post a Comment