KIBONGOBONGO: Madrid waamua kutengeneza sanamu ya Ronaldo

KIBONGOBONGO: Madrid waamua kutengeneza sanamu ya Ronaldo: Real Madrid wameamua kupotezea tetesi juu ya staa wao Cristiano Ronaldo kutaka kuihama klabu hiyo kwa kuanza taratibu za kutengeneza sanamu hilo kwa ajil ya kulihifadhi katika jumba la makumbusho la klabu hiyo
...

Comments