MAMIA WAJITOKEZA MAZISHI YA ALBERT MANGWEA: Morogoro MAELFU ya watu walijazana leo katika Mkoa huu wa Morogoro kwa ajili ya mazishi ya msanii Albert Mangweha aka Ngwair.
Watu wakikanyagana walipoambiwa wapange mstari ili kutoa heshima za mwisho
Mh Joel Bendera akiwa na mama mzazi wa marehemu Mangwea
Mh Mbilinyi akitoa heshima zake za mwisho
M to the P akilia kwa uchu ngu baada ya kumuaga rafiki yake kipenzi

DAH R.I.P BRO
ReplyDelete