Mwili wa Ngwair waagwa rasmi, kutua nchini kesho m...

 Mwili wa Ngwair waagwa rasmi, kutua nchini kesho m...: Baadhi ya Watanzania waishio Afrika Kusini wakiuaga mwili wa Ngwear.hatimaye siku ya kuwasili mwili wa mpendwa wetu imetangazwa kwamba ni kesho mapema


Baada ya kuagwa mwili sasa wanaupeleka sehemu inayostahili na kusafilishwa kurudishwa Tanzania kwa ajili ya kumpumzisha ndugu yetu na mpendwa wetu Mangwear

Comments