OMOTOLA NA TOOLZ WASHINDANISHA MAKALIO YAO

Ukisikia maajabu ndiyo haya, msanii maarufu wa Hollywood Omotola Jalade na mtangazaji maarufu wa Nigeria  Tolu Oniru walijikuta wakianza kushindanisha makalio yao katika kipindi kinacho endeshwa na Toolz ambapo siku hiyo Omotola alikuwa kama mgeni..Mashindano hayo nchini Nigeria yamezua ubishano mkubwa ambpo kila mtu anamsifia msanii wake kati ya hao wawili

Comments