Msanii wa miondoko ya Hip hop alimaharufu kama Langa Kileo au LANGA jina lake la kisanii aliye anza safari yake ya muziki akiwa na kundi lake la wakilisha akiwa na Witness pamoja na Shaa,
Amefariki leo katika hospitali ya taifa Muhimbili inasemekana kuwa maralia ndiyo ilikuwa inamsumbua.Langa atakumbukwa kuwa msanii wa kuigwa alipoamua kujitangaza kwamba alikuwa muhanga wa madawa ya kulevya na kuweza kufanikiwa kuachana nayo,na kuwa mshauri mkuu kwa vijana wote walio athilika na matumizi ya madawa ya kulevya........Langa atakumbukwa kwa mengi ikiwapo nyimbo zake nzuri kama Matawi ya juu,Gangstar,Pesa ,kifo jela au mataasisi, naposimama

Comments
Post a Comment