NEWS: Hichi ndicho alichokisema lady jaydee baada ya kushinda tuzo ya #AFRIMMA

Nashukuru wote mnaokubali kazi zangu, wote mnaosimama na kutetea JayDee bila kusita, nashukuru kwa Tuzo nyingine tena toka AFRIMMA . Wahenga walinena kuwa utavuna ulichopanda, mapenzi tele kwa kila mtu.

Comments