"JINSI YA KUSHIRIKI UZINDUZI WA ALBAMU YA MSANII "ONE THE INCREDIBLE"

Kama mdau wa mziki huu wa hiphop hata pia kama si mdau ila Una penda na kusaport kitu anachofanya "ONE" hivi ndivyo utakavyoweza kushiriki na pia kuna nakala 500 za "BURE kama utaweza kuwa kati ya wale watu miatano wa kwanza kaBisaa kulipia kiingilio cha uzinduzi huo.Hivi ndio unatakiwa kufanya

Comments