TAZAMA COVER LA ALBAM MPYA YA "ONE THE INCREDIBLE" (RAP)

Msanii mkali wa miondoko ya hiphop ajulikanae kwa jina la "ONE THE INCREDIBLE" anatarajia kuachia mzigo mpya wa ALBAM Inayokwenda kwa jina la "RAP" SOON jamaa hakoseagi katika muziki wa rap tunategemea mzigo mzuri.

Comments