Katika account yake ya Instagram Kala Jeremiah ametuonyesha cover hilo hapo juu huku akisema mko tayari kuashiria kuna kitu kipya kinakuja kutoka kwake. Safari hii inaonyesha atakuwa amemshirikisha msanii mkali kwenye maadhi ya R&B mkongwe NURUWELL, wimbo umepewa jina la USIKATE TAMAA
Comments
Post a Comment