TAZAMA COVER YA NGOMA MPYA YA VANESSA MDEE FT BARNABA BOY "INAYOITWA "SIRI"

Mkali wa ngoma ya come over "V MONEY" Anatarajia kuachia new hit nyingine inayokwenda kwa jina la siri aliyo mshirikisha Mwanakaka mwenye vipaji vingi katika muziki Mr BARNABA BOY" ukipenda BABA STEVE hivi soon "kaeni mkao wa kula

Comments