Lionel Messi pamoja Neymar jr wameripoti mazoezini jana kwa ajili ya kuungana na timu yao kwa ajili ya msimu mpya utakaoanza wiki chache zijazo.Messi na Neymar jr walipewa likizo ndefu kidogo kutoka kla
buni hapo pamoja na mwaAgentina mwengine Mascherano
Comments
Post a Comment