(EnterTainment) Floyd Mayweather Alingisha Ndinga yake Mpya Yenye thamani Ya $4.8mil Supercar

image
Floyd the money Mayweather aonesha expensive car a Koenigsegg CCXR Trevita supercar ambayo yanatengenezwa special kwa watu wenye pesa mingi (vibopa) 

Floyd amesema ya kuwa aina ya hiyo gari zipo mbili tu hadi sasa duniani kote na ya kwake ndiyo ya pili . Money talks…

Comments