(EnterTainment News) Collabo ya Diamond Platnumz na Neyo imeshaiva
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Msanii Matata wa bongoflavor Diamond Platnum Ametupia picha zinazomuonesha yeye pamoja na mkali wa rnb Neyo Pamoja na producer Shebby Clever wakiwepo studio na kuandika maneno ya kuashiria tayari ngoma hiyo imeshafanyika sasa inasubiri kutolewa tu.
Comments
Post a Comment