(MichezoBongo) Yanga wameshinda ngao ya hisani kwakuifunga Azam

Leo Palikuwa na Mtanange wa Shoka Kati ya Yanga na Azam Kugombania Ngao ya Hisani ya Ufunguzi wa Ligi Kuu ya Tanzania ..Na Matokeo ni Kama yafuatayo...
Yanga wameshinda ngao ya hisani kwakuifunga Azam kwa Penati 8 kwa 7

Comments