Klabu ya Manchester United WAMEINGIA mkataba MPYA NA ADIDAS WENYE THAMANI YA pauni milioni 750 ili kuvaa jezi zenye chata yao. Man Untd walifanya kazi na Nike kwa muda USIOPUNGUA wa misimu 13
Mkataba wa Man untd imekuwa bora zaidi ya ofa za kbalu zingine zinazodhaminiwa na Adidas kama Bayern Munich [Pauni milioni 645] na Chelsea [Pauni milioni 300] .
Comments
Post a Comment