(Sports News) HAYA NDIYO MANENO ALIYOYASEMA DI MARIA ,BADA YA KUTUA PSG

Aliyekuw mchezaji wa Manchester UTD Anagel Di Maria ameshakamilisha uhamisho wake wa kutoka Man UTD na kutimkia PSG Na haya ndiyo maneno aliyosema kwa KLABU yake hii mpya "" I am very happy to join PSG - Paris Saint-Germain. They won every title in France last season. They're very important."

Comments