(Sports News) Kwa Mashabiki Wa Manchester Utd Tazama Namba Atakayovaa kila Mchezaji Msimu Ujao

Timu ya Manchester Utd Leo Imetoa Namba ambazo watakuwa wakizivaa wachezaji wa timu hiyo msimu huu mpya wa 2015/2016 kupitia account yao ya social network yaani Facebook na instagram Na website yao kupitia picha hii

Comments