Kocha huyo wa Manchester city ambao mahasimu wakubwa wa Manchester utd Manuel Pellegrini ameongezewa mkataba mwingine wa nyongeza utakaompeleka hadi mwaka 2017. Mkataba wa raia huyo wa Chile ulikuwa umalizike mwaka ujao. Pellegrini, aliyewahi kuzifundisha Real Madrid na Malaga, alianza kuifundisha Man City mwaka 2013 baada ya kuondoka kwa Roberto Mancini. "Najivunia kuwa meneja wa Manchester City" amesema Pellegrini.
Comments
Post a Comment