(Sports News) Rufaa ya Chelsea Kuhusu kipa Wao Majibu haya hapa
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Rufaa ya Chelsea kupinga kadi nyekundu aliyooneshwa kipa Thibault Courtois katika mchezo dhidi ya Swansea, siku ya Jumamosi, imetupiliwa mbali na Chama cha Soka cha England, FA.
Courtois sasa atakosa mechi ya Jumapili dhidi ya Manchester City
Comments
Post a Comment