(SportsNews) Angalia Robin van Persie First GOAL At Fenerbahçe

Aliyekuwa Mchezaji wa Manchester Utd Robin van Persie Usiku wa jana alitupia goli lake la kwanza katika timu yake mpya Fenerbahçe katika mashindano ya Europa League wanayoshiriki timu hiyo.

Comments