
Chelsea wameshamalizana na Timu ya Fluminense juu Ya mshambuliaji wao Robert Kenedy mwenye umri wa miaka 19-. Mshambuliaji huyo ameshatua tayari akitokea Brazil ambako alikuwa akicheza kama mchezaji chini ya miaka 20 level.
Kenedy ambaye atavaa No.16 alisema: 'I am very happy to complete my transfer to Chelsea.'(Nina furaha kumaliza uhamisho wangu katika klabu ya chelsea.
Kijana huyo pia aliichezea the Blues pre-season katka mechi ya Barcelona in Washington
Kenedy, full name Robert Kenedy Nunes do Nascimento, is a powerful left-footed attacker who can play through the centre or on either flank.
Comments
Post a Comment