Wolfsburg's sporting director Klaus Allofs Amethibitisha ya kuwa deal la MBelgian huyo liko katika sehemu za mwisho na Atawez kurudi tena katika ligi ya Premier League Ijumaa, na usajili huo kuweza kukamilika ndani ya masaa 48.
Picha hapo juu inamuonesha De Bruyne akipanda private jet huko Braunschweig Airport asubuhi ya leo .Sport1 walidai ya kuwa anaelekea England.
De Bruyne anatalajiwa kupimwa vipimo vya afya leo mida ya mchana
Kevin De Bruyne anarudi tena baada ya Miezi 18 baada ya kuondoka Chelsea Dau la £18million.
Comments
Post a Comment