(SportsNews) Pepe Aongeza Mkataba Real Madrid.

Mchezaji wa Real Madrid anayesifika kwa kucheza kwa jihadi au beki kazi asiyetaka masihara anapokuwa analinda Ngome yake pia anasifika kwa Utukutu PEPE Ameongeza mkataba wake Mpya utakao mbakisha Real Madrid Mpaka mwaka 2017 mwezi June.

Comments