Arsene Wenger Amesema ya kuwa bado yupo kwenye mchakato wa kumtafuta mshambuliaji mpya na body yake ya usajili inahangaika usiku na mchana ili kupata saini ya mchezaji mpya kabla ya dirisha la usajili halijafungwa.
The Gunners wamemsajili Petr Cech kutoka Chelsea kipindi hiki cha usajili.Pia target yao Karim Benzema na Grzegorz Krychowiak wameng`ang`ania Real Madrid na Sevilla.
Pia amesema timu yake ya usajili bado inatafuta viungo wakabaji na na viungo washambuliaji kila sehemu ili kuwahi kuwapata kabla Dirisha la Usajili halijafungwa.
Wenger aliwaambia waandishi wa habaari “I’m available 24 hours a day and I have a whole team behind me working round the clock,” .
Pia ikumbukwe The Gunners wameaanza vibaya msimu huu na kuruhusu kupoteza point tano kwenye game tatu za ufunguzi "Wenger asema nilitaka tuanze kwa kasi.,kwa sababu tuna mechi ngumu mbele yetu pia liverpool walikuja kwetu na tumepoteza point zingine.

Comments
Post a Comment