(SportsTetesi) Karim Benzema will join Arsenal this summer, Respected Italian journalist confirms deal



    Karim Benzema atajiunga na Arsenal msimu huu, mtangazaji Mwitaliano athibitisha
    Arsenal imekubali dili kumsajili mshamuliaji wa Real Madrid Karim Benzema kwa mkataba wa miaka minne yenye thamani ya £120,000 kwa wiki, kwa mujibu wa mtangazaji Mwitaliano Emanuele Giulianelli.
    Arsene Wenger alikuwa shabiki mkubwa wa Mfaransa mwenzake kwa muda mrefu, na Arsenal tayari imekwisha tengeneza milioni 40 za pauni.
    Na sasa mtangazaji Emanuele Giulianelli, aliyebaini kisahihi kuwa Alexis Sanchez atahamia Arsenal kabla ya kutangazwa rasmi, anasema kuwa staa wa zamani wa Lyon amekamilisha uhamisho wake kwa klabu ya Kaskazini mwa London.
    “Benzema atajiunga na Arsenal kwa mkataba wa miaka minne kwa €9m kwa mwaka,'' aliandika kwenyeTwitter yake.
    “Benzema alimwambia jirani wake kuwa anapendezwa na Wenger na Arsenal. Yeye anapenda mashabiki wa Arsenal.”
    Mwenye umri wa miaka 27 alifunga mabao 133 katika mechi 281 kwa Real Madrid tangu asajiliwe kutoka Lyon mwaka 2009.

    Comments