(Video) Hiki ndio chumba cha mtoto mtarajiwa wa Diamond Platnumz na Zari

Hii ni Video aliyo ipost Diamond kwenye A ccount yake ya Instagram na kuandika "" If i give you a chance to choose a name for my Daughter which one will you name her…? πŸ’žπŸ‘ΌπŸ’ž (nikikupa nafasi ya kumpa jina Binti yangu utapendekeza jina gani…?πŸ’žπŸ‘ΌπŸ’ž )“.

Comments