(EnterTainment) #Fahamu Sababu Ya Dj Fetty Kuachana Na Kazi Ya Utangazaji Clouds Fm Radio Hapa


Mwanadada Fatma Hassan aka DJ Fetty, mmoja Wa Watangazaji ambao wamepata majina makubwa sana Tanzania na Nje ya Tanzania kutokana na kazi ya Utangazaji ambapo ana mchango mkubwa pia kwenye muziki wa Bongo Fleva kama Mtangazaji wa kipindi cha,XXL Ndani ya Clouds FM.



Leo tarehe 15 2015 Fetty ametangaza kuachana na kazi ya Utangazaji na kuongeza nguvu yake zaidi kwenye masuala ya Biashara yake mpya aliyoianzisha mwenyewe Nafasi yake itachukuliwa na Kenned Remmedy ameungana na Timu ya XXL kwa mara ya kwanza.












Comments