(ENterTainment) #Fahamu Wiz Khalifa Ataja Kitu Cha Kwanza Kukinunua Baada Ya Kupata Mkwanja (Pesa) Kutoka Kwenye Muziki Wake












Sio siri kuwa Wiz khalifa anapenda kuimba kuhusu pesa' sikiliza nyimbo zake nyingi na lazima utasikia masuala ya pesa ndani yake. 

Fuatilia Mahojiano ya Mwandishi Na Wiz Khalifa Hapa Chini!

Kitu gani cha kwanza ulinunua baada ya kupata mafanikio yako? 
Nilinunua gari ambalo lilionekana kwenye video yangu ya The black and yellow
Lilikukost bei gani?
Nadhani ilikuwa sio chini ya $40,000. Sikununua moja kwa moja kwanza kwa sababu nilitaka kujijenga kifedha kwanza.Japo magari mengine yote nimeyanunua bila kujali sana ila sio kwa hili gari langu la kwanza ilikuwa ni tofauti kidogo . 
 
Mwaka gani ulinunua?
Nadhani miaka ya 2010. 
 
Ulinunua wapi?
Nililinunua Pittsburgh.



Lipo wapi sasa hivi?
Lipo vizuri bado nalitunza vyema na jana usiku tuu nimetoka kuliendesha

Comments