(EnterTainment) #TAZAMA Picha Tano Za Rihanna Alizopiga Kwa Ajili Ya Dior Magazine.



Rihanna amepost leo katika page yake ya Instagram kushea picha zake alizozipiga zikimuonesha amevaa magauni marefu. 
RiRi alichaguliwa kama the face of Dior last year, na anakuwa mwanamke wa kwanza mweusi maarufu katika kampeni ya magazine hilo. Na pia uhusiano wake na French lebo unaendelea kuwa mkubwa 
Angalia picha za Rihanna kwa ajili ya Dior Magazine photos hapo chini.
Rihannarihanna-deafhard.com 1rihanna-deafhard.com 3rihanna-deafhard.com 4riri

Comments