Nicki Minaj na Meek Mill waliwaacha watu midomo wazi wakati wakiwa wanajiaandaa kutokea kwenye jarida maarufu la GQ magazine.Nicki na Meek walijiachia vya kutosha mbele ya wapiga picha wa magazine hilo bila kujali na kuonyesha Dunia kuwa wawili hao ni wapenzi wa kweli na si utani.
Hii ni mara ya kwanza kwa wapendanao hao kupiga picha za magazeti tangu walipoanza uhusiano wao huo. Na magazine hiyo inatarajiwa kutoka October mwaka huu.
Unaweza Kutazama Video Yenyewe hapo chini
Comments
Post a Comment