((EnterTainment) #News Iggy Azalea Akana Madai Ya Kuwa Ametoka Kwenye Lebo Ya TIP








Mwanadada ambaye anayekuja kwa kasi kwenye muziki wa Rap Iggy Azalea alitumia ukurasa wake wa twitter kuwataharifu watu ya kuwa bado yupo chini ya msanii anayetoka ATL T.i The king Kwa kuandika ujumbe huo hapo chini




"Heres the deal, I am still signed to @tip and do business with him,” she tweeted. “The first ive heard of us having an ‘issue’ is via a radio interview.”


Comments