(News) Aliyekuwa Mpenzi Wa Mwanadada NICKI MINAJI Mr SAFAREE SAMUELS Afuta Tattoo Zote Za Nicki Minaj Mwilini




Aliyekuwa Mpenzi wa Mwanadada rappa Nicki Minaj Safaree Samuels Ameamua kusahau na kuanza upya baada ya Mpenzi wake Nicki Minaj Kumpiga Chini Na kutoka Na Meek MIL 



Safaree ameanza na kuanza kuifuta tatoo ambayo alijichoraga enzi ya Mapenzi yao kabla ya kuingia dosari .Inasemekana pia kulikuwa na tatoo zingine zenye picha ya Nicki Minaj zilikuwa kifuani mwake nazo pia ameshaziondoa na hii ya mkononi ni tatoo ya mwisho Safaree kuiondoa. 


 












Picha ifuatayo ameipost Nicki minaji Insta.Na mpenzi wake mpya














Comments