(News) Mr .blue Apata Mtoto Wa pili Wa kike.





Leo itakuwa siku ya furaha na ya kukumbukwa kwa msanii mkali wa miondoko ya kuRapu Mr blue baada ya mpenzi wake wa muda mrefu bi Wahida kujifungua leo mtoto wa pili na kumletea Mr blue mtoto wa kike.



Wanafamilia ya Mwamahusi blog Tunapenda kukupa Hongera Mr blue& .bi Wahida



 Hichi ndicho alicho kipost leo Mr blue mtandaoni





Comments