(SportsNews) Chelsea Football Club Wamemaliza Usajili Wa Beki huyu.





Kijana Michael Hector mwenye umri wa miaka 23 anayecheza nafasi beki wa katikati amesajili mkataba wa miaka mitano akitokea clabu ya Reading centre-back, who has signed a five-year-contract, will return to Reading and spend the remainder of this season on loan at the Madejski Stadium.



Hector,ambaye ni kapteni wa Reading na anatokea Nchi ya Jamaika.

Comments