(SportsNews) #FAHAMU Alichokisema Louis Van Gaal Kuhusu Wachezaji Kulalamikia Mazoezi Yake




LvG ajitetea

Baada ya kuwapo taarifa nyingi kwamba wachezaji wa manchester united
hawaridhishwi na muenendo wa mafunzo wanayopata kwa manager wao
..hatimae louis van gaal amelizungumzia hili.
Kocha uyo ameteta mahusiano yake na wachezaji na kusisitiza ni vizuri
manahodha wake wawili wameonyesha kulitambua hilo....



Magazeti ya Uingereza wiki hii yameripoti habari kua chumba cha kubadili nguo cha
Man united hakiko sawa na chanzo ni mchambuzi wa uwezo wa wachezaji
uwanjani aitwaye "Max Reckers".

Louis can gaal amekubali kua ma nahodha wake wawili wayne rooney na
michael carrick walilifikisha ilo swala kwake.Waliniambia hali sio
nzuri kwenye chumba cha kubadilisha.."nilikwenda kwenda chumba cha
kubadilishia nguo,nikazungumza na wachezaji tulizungumza mambo mengi
lakini si hayo yalioandikwa magazetini"alisema.

.Labda jaribu kuangalia
ni wachezaji wangapi wanakuja kukueleza ili au lile .katika kazi yangu
sijawahi kuletewa habari na wachezaji juu ya kile kinachoendelea kati
yao ..lakini wamekuja ni jambo zuri wananiamini na ninaamini nina
mahusiano mazuri na wachezaji wangu.

Saa nyingine wachezaji wanakuja kuniomba msamaha kwa kile walichoongea
kwenye magazeti..nina soma habari ambazo hatujaongea..ni kama mwaka jana
tu..wapo wanaopata huzuni wenzao kuondoka..karibu ya chumba
kimebadilika ni hali ambayo inakutokea pale marafiki zako wanaondoka
kwenye timu.kama coach najua ni swala la ki falsafa.

Ikikumbukwe week end hii united wataumana na mahasimu wao liverpool...

Comments