Straiker wa Arsenal Danny Wellbeck bado anaendelea kuteseka na majeruhi yake ya mguu wake wa kushoto na mpaka sasa imefikia hatua ya kutakiwa kufanyiwa upasuaji wa goti lake hilo na kusemekana atabakia nje kwa mwezi mmoja au na zaidi.Mwanoni klabu ya Arsenal walijua ni tatizo dogo tu ambalo hlitahitaji upasuaji wowote ule.
"Danny Welbeck amekaa nje ya uwanja kwamajeruhi tangu mwezi wa nne na alikuwa akijitonesha mazoezini na kukaa nje kwa wiki kadhaa kabla ya kufikia hitimisho hilo la upasuaji wa goti lake.
Dactari alisema
"Tulitegemea kwamba hatutafanya upasuaji ila baada ya kuongeza kufanya mazoezi jeraha likazidi na na kuwa tofauti na tulivyodhania na maamuzi yakatolewa ya kuwa anatakiwa kufanyiwa upasuaji.
"Danny sasa anategemea kukaa nje kwa miezi kadhaa na kila mtu anamuombea heri katika upasuaji wakel."
Arsene Wenger matarajio yake yalikuwa Danny atarudi tu baada ya kutoka kwenye Mechi za kitaifa na mambo yameenda tofauti.
Mechi ya mwisho ya Danny ni ya tarehe April 26, Wakati Arsenal Ikicheza dhidi ya Chelsea ya drew 0-0
Comments
Post a Comment