(SportsNews) #Fahamu Kocha Wa Chelsea Jose Morinho Amkoromea Kocha Wa Everton Na Kumtukana Mbele Ya Wahandishi
Kocha wa Timu ya Everton Martinez alikuwa na waandishi wa habari baada ya mechi kati ya timu yake dhidi ya Chelsea, Mourinho anasikika akiongea kwa jazba huku akimwambia kocha huyo wa Everton maneno haya ‘Roberto – next time tell me to go before you, because we have to travel. Fuckin’ hell!’
Sikiliza hapo Chini
Comments
Post a Comment