
Getty ImagesBy Chris Davie
Paris Saint-Germain midfielder Blaise Matuidi aliweza kufunga magoli mawili katika mchezo huo wa kirafiki kati ya Ufaransa dhidi ya Serbia na kuiwezesha ufaransa kuibuka na ushindi wa goli 2 kwa huku mchezaji wa Real Madrid Karim Benzema akianzia nje naGiroud kuanza kwenye mchezo huo.,
Giroud inasemekana kwenye dakika 189 ameichezea timu yake ya Ufaransa bila ya kupata bao hata moja na ndio maana mashabiki wa Ufaransa wamemchoka.
Antoine Griezmann's alimtengenezea pasi nzuri Giroud's ila kama kawaida yake hakakosa goli.
Alizomewa zaidi dakika ya 62 alipokuwa anatoka nakumpisha mchezaji tegemezi wa timu hiyo Karim Benzema aingie na hapo ndipo boooo zilipoanza.
Angalia Table inavyoonesha hapo chini
Comments
Post a Comment