(SportsNews)#Fahamu Mesut Ozil Afichua Sababu Ya Kujiunga Na Klabu Ya Arsenal Na Kwanini Anafurahia Kuwa Chini Ya Arsene Wenger
Mesut Ozil amefichua sababu ya kujiunga na Arsenal na kwanini hajajiunga na klabu nyingine zilizokuwa zinamuhitaji.
Mshindi huyo wa World Cup alihamia north London akitokea Real Madrid Mwaka 2013 na kuvunja club record kwa kitita cha £42.5million.
Lakini Gunners hawakuwa peke yao wakimwania mchezaji huyo wa Kijerumani alikuwa pia anafukuziwa na timu ya tena kwa mshahara mkuba sana.Paris Saint-Germain .
Ozil alisistiza alivutiwa zaidi na staili ya uchezaji wa Arsenal jinsi timu inavyocheza inavyoshambulia ndio vitu vilivyonivutia sana kutaka kujiunga na klabu hii kubwa Duniani
(it was Arsenal’s attacking philosophy that eventually persuaded him to join Arsenal.)
(“Before I joined, I knew that Arsenal were always a technically-strong team,” he told the club’s website).
“Na hii ndiyo sababu nyingine ya kujiunga na Leds kwa sababu najua sawia( exactly) kitu gani kocha anakihitaji kutoka kwa timu
“Mchezo wetu unazungukwa na kucheza vizuri kiufundi zaidi (technical football) na hivyo ndivyo inavyotakiwa .Shukrani zote kwa manager amefanya kazi kubwa kwa miaka mingi ili kutengeneza timu ya ushindani.Hii ni sababu nyingine iliyonifanya nijiunge na timu hii kwa sababu najua nini kocha anakitaka
“Na nashukuru kucheza chini ya kocha kama Wenger katika maisha yangu ya soka nafurahia mbinu za kocha na pia nafurahi kucheza kwa Kocha ambaye ananielewa mimi vizuri
Comments
Post a Comment