Skip to main content

(SportsNews) Pedro Asema Golikipa Wa Man U Valdes Alimshawishi Asijiunge Na Manchester United




Pedro amefunguka ya kwamba aliyekuwa mchezaji mwenzake wa Barcelona Victor Valdes ndiye aliyemshawishi kutojiunga Na mashetani hao wekundu nakuamua kujiunga na Chelsea. 



United goalkeeper Valdes aliisifia klabu pamoja na watu wake na mashabiki wa man utd kwamba wakopoa hawana matatizo.

Pedro alisema

"Valdes aliniambia hivi Man UTD ni klabu nzuri na ina  watu wazuri wanayoisapoti klabu hii Ila tatizo la hapa ni moja tu "KOCHA ambaye ni Luic Vanghal.

Valdes has been left out of United's Champions League squad following the collapse of David de Gea's move to Real Madrid and Pedro believes his former Barcelona team-mate is being treated unfairly.

"Pedro alisema ni kweli sikufurahishwa na vitendo alivyofanyiwa team-mates mwezangu (MuHispain Mwenzie) Victor ambaye ni kima taswira kwangu na ni model professional," Aliongezea.

Comments